iqna

IQNA

utawala wa Kizayuni wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Baraza la Ushauri la Oman limeikabidhi Kamati wa Kutunga Sheria na Kulinda Haki ya nchi hiyo; muswada wa marekebisho ya kifungu cha 10 cha sheria ya kuharamisha na kupiga marufuku kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili upasishwe rasmi.
Habari ID: 3476320    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/28

Kususia Israel
TEHRAN(IQNA)- Oman imekataa kuidhinisha ndege za utawala wa haramu wa Israel kuruka katika anga yake, ikionekana kujiepusha kufuata nyayo za Saudi Arabia za kujikurubisha wazi wazi na utawala huo haramu.
Habari ID: 3475608    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/11

Rais Ebrahim Raisi katika gwaride la Siku ya Jeshi
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwezo wa majeshi ya Iran ni uwezo wa kumzuia adui na kuongeza kuwa, uchokozi hata mdogo zaidi wa maadui kama vile utawala wa Kizayuni wa Israel hautafumbiwa macho na vikosi vya ulinzi vya Iran.
Habari ID: 3475137    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/18

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umemuachilia huru iongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina Sheikh Raed Salah.
Habari ID: 3474669    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/13

TEHRAN (IQNA) -Afisa mmoja wa Sudan ambaye hakutaka jina lake litajwe amedai kuwa muda wa nchi hiyo kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel umekaribia licha ya vyama mbalimbali na wananchi kupinga jambo hilo.
Habari ID: 3473288    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/23